Akihojiwa na redio moja Shilole amesema kuwa
msanii huyo ni mshikaji wake tu hakuna kinachoendelea baina yao na kukanusha kuwa msanii huyo anaishi nyumbani kwake.
“Nedy music ni mshikaji wangu..anakaa kwake mimi nakaa kwangu.Mimi ni mwanamke mtafutaji kwa hiyo mambo ya mapenzi siyaweki saana,nafocus kwenye kazi” alifunguka Shilole.
0 comments:
Post a Comment