Millard Ayo Ameandika Hivi Katika Ukurasa Wake wa Facebook:
"Najua nina watu wangu wanapenda sana
utangazaji.... unapenda kukionesha kipaji chako mbele ya mtu wako
#millardayo ?!! unaweza
kuongea Kiswahili na Kiingereza kwa UFASAHA?
ungependa siku moja uwe sehemu ya timu ya #MillardAyo kwenye #Radio
na #TV ? kaa karibu yangu siku sio nyingi nitakupa njia za kunifikia,
usiache kumtag mtu unaeamini anakipaji cha utangazaji wa Radio na TV.
#TZA #POWER101 #BASE'
0 comments:
Post a Comment