Tuesday, 23 February 2016

Ray Vicent Kigosi akizungumzia mpango wa kutumia maji kumuingizia mkwanja

RAY KIGOSI
Ray Vicent Kigosi akizungumzia mpango wa kutumia maji kumuingizia mkwanja baada ya kumake headline kibao kwenye mitandao
Nimepata mawazo mengi kutoka
kwa watu, naweza kufanya dokumentari ya nini umuhimu wa maji, nikawaelimisha watanzania kuhusu umuhimu wa maji na nikapata pesa‘ ;-Ray Kigosi

0 comments:

Post a Comment