AY na Diamond Platnumz |
Baada ya headline kusambaa katika mitandao mbalimbali kuhusu kufungiwa kwa mdundo mpya wa Ay ft Diamond Platnumz ‘Zigo’ TCRA kupitia kwa Meneja Mawasiliano Innocent Mungy amekanusha taarifa hizo na
kusema ‘tumetoa
taafira kwenda kwa watangazaji wa vitu vya Televisheni kubainisha
maudhui yanayopaswa kuonekana haswa mchana wakati watoto wanaangalia Tv ‘
‘Taarifa
tuliyoitoa ni kusitisha kurusha nyimbo zinazokiuka kanuni za utangazaji
na za maudhui, kwa kuonyesha picha zisizo na maadili na kuchochea
watoto kuiga maadili mabaya ‘ ;-Innocent Mungy
0 comments:
Post a Comment