Tuesday, 23 February 2016

Nuh Mziwanda kueleza kuhusu enzi za uhusiano wake na Shilole

NUH MZIWANDA
Nuh Mziwanda kueleza kuwa enzi za uhusiano wake na Shilole hakuweza hata kununua hata feni kwasasabu alikuwa akibanwa.
Ni kweli nilikuwa naishi kwa mwanamke wangu, lakini
alikuwa hataki ninunue chochote, wazazi na ndugu zangu walinihimiza nijitambue kuwa mimi ni mwanaume lakini sikuzingatia‘ ;-Nuh Mziwanda
namuomba msamaha mama yangu na pia kwa  wale wote waliokuwa wananipa ushauri , nilijua nimepata kumbe nimepatikana na sasa mimi nimekuwa Nuh mpya‘ ;-Nuh Mziwanda

0 comments:

Post a Comment