Tuesday, 23 February 2016

Diamond Platnumz alikataa kushoot video zake bongo?

Msanii Diamond Platnumz
Diamond Platnumz kazungumzia vitu vilivyomvutia Director Godfather alipotua bongo “Ugomvi wangu mimi na
Godfather ilikuwa ni yeye kutaka nishoot video zangu Tanzania, sasa mimi nikawa simuelewi, alivyokuja bongo nikapitanaye Kigamboni.. yani kilakitu alikuwa akikiona anashangaa mazingira yalivyo mazuri”

0 comments:

Post a Comment