Tuesday, 23 February 2016

Mazungumzo ya Zuhura Yunus (BBC) Na Raisi Museveni kuhusu uchaguzi mkuu wa Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema uchaguzi
uliofanyika nchini humo Alhamisi juma lililopita ulikuwa wa haki na akasema wanaoutilia shaka “hawaielewi Uganda.

0 comments:

Post a Comment