Mbunge wa jimbo la Nyamagama, Stanslaus Mabula pichani akifurahia mara baada ya kutangazwa mshindi wa jimbo hilo na Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza dhidi ya aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha CHADEMA, Mh. Ezekiel Wenje.
Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Nyamagana jijini Mwanza iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Ezekiel Wenje (CHADEMA) dhidi ya Mbunge wa sasa wa Nyamagana Stanslaus Mabula (CCM) ilikuwa ikiendelea katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza ambapo Ezekiel Wenje alifungua kesi hiyo akipinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yakimpa ushindi Mbunge wa sasa, Stanslaus Mabula.

Leo April 8 2016, maamuzi ya kesi hiyo yametangazwa rasmi ambapo Mbunge Stanslaus Mabula ameshinda kesi hiyo, baada ya kubainika upande wa madai hauna ushahidi unaokidhi, kuithibitishia mahakama
0 comments:
Post a Comment