March 22, 2016 meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale alimpeleka msanii
wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz Sober
House iliyopo Bagamoyo iitwayo Life and Hope Rehabilitation Centre
kwaajili ya kupata matibabu ya kuacha kutumia madawa kulevywa na kurudi
kwenye hali yake ya mwanzo.
Headline za kutoroka kwa msanii huyo kwenye nyumba hiyo ya kuhudumia waathirika wa dawa za kulevya zilianza baada ya watu kumuona msanii huyo akiwa mtaani June 5 2016 Mkuu wa Kituu hicho cha Sober House ameelezea ukweli wa msanii Chid Benz kwenye kituo hicho.

0 comments:
Post a Comment