June 05
2016 ulifanyika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala,
Dar es salaam ambapo Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe alipata
nafasi ya kuzungumza katika mkutano huo, kati ya mambo aliyoyazungumzia
ni pamoja na huu ushauri kwa CCM na CUF kuhusu Zanzibar.
‘uchaguzi
wa octber 2015 CCM wameukataa, uchaguzi wa March 2016 CUF wameukataa,
wito ninaoutoa kwa vyama vya CCM na CUF, wakubaliane uchaguzi wa october
2015 na uchaguzi wa March 2016 zote sio chaguzi waunde serikali ya
mpito uitwe uchaguzi mpya chini ya tume mpya ya uchaguzi atakayeshinda
apewe serikali’
Unaweza kutazama video kwa kubonyeza play hapa chini
0 comments:
Post a Comment