
AyoTV kila wiki itakua inakukutanisha na stori za mastaa mbalimbali wa Tanzania kukupa zile stori zote kubwa kutoka kwao ambapo time hii tunaye Dudubaya ambaye ameelezea kwanini alimuomba Shetta msamaha, tunayo video ya Rammy Galis alivyosindikizwa Airport na Masogange pamoja na stori nyingine.
0 comments:
Post a Comment