Kwa wale wanaofatilia stori za burudani Tanzania hasa ujio wa mwimbaji wa NigeriaTekno kwenye show ya
Dar es salaam walipata kilicho-trend kuhusu mwimbaji huyo staa wa hit single ya ‘wash‘ kuripotiwa kulala na Mrembo wa kitanzania aitwae Gigy Money.
Baada ya hizo taarifa kusambaa, Tekno alipost na kuandikiwa caption ya picha yake kwenye Instagram kwa Kiswahili akionekana kukasirishwa na kilichosambazwa na Mrembo huyu ambapo moja ya sentensi zilisomeka ‘umelala na meneja wangu ukaletwa chumbani kwangu maana uliomba upige picha sasa unaleta stori kwamba umelala na mimi‘
0 comments:
Post a Comment