Thursday, 25 February 2016

Producer Lamar na beat ya Scott Storch, Mb Dog na jina lake?

stori zilizopata airtime ni pamoja na hii ya Producer Lamar kupost akifanyia editing mdundo wa producer mkubwa
duniani Scott Storch.12749848_101264903599892_1264337772_n(1)
‘Jamaa nilikuwa nimetengeneza beat, beat yake alikuwa kaipost nikairudia kama nimekuwa inspired, P Funk akamtag jamaa akamaindi lakini nikamwambia mimi nimeku inspired tu na beat zako kwasababu sisi tumekuwa inspired na wewe tangu mwanzo yaani alijua mimi naitumia ile beat’ 
12338680_932705243483810_1449294369_a
Unajua ni kwanini msanii Mb Dog anajiita ‘Dog Man’ kupitia 255 ya clouds Fm anafunguka‘Yaani mpaka kuniita Dog unajua waliamini mapafu yangu kabla ya kuniamini mimi walikua wanaamini kwanza nilikuwa napenda mbwa unajua ukipenda mbwa utakuwa unakimbia kama mbwa’
‘Kuna jamaa nilishamuibia mbwa akaniuliza nimemkamataje kwanza ilibidi nikamatwe nipigwe maana mbwa alitafutwa kama wiki’

0 comments:

Post a Comment