Rais mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh ndg Dr. John Pombe
Magufuli kavamia hivi punde katika ofisi za vivuko Magogoni na kukuta
ofisi zote zipo
wazi hazina watu zaidi ya baharia mmoja tu aliyekutwa
akifanya usafi na kuhojiwa.
Kwa taarifa zaidi usikose kuangalia taarifa ya habari.
***Mwaka huu ni kazi tu ***
0 comments:
Post a Comment