Usiku wa February 24 muendelezo wa mechi ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ilipigwa kama kawaida, usiku wa February 24 ilipigwa michezo, klabu ya
Man Cityilikuwa ugenini kucheza dhidi ya Dynamo Kyiv, wakati ambao klabu ya PSV Endhovenilikuwa ikicheza dhidi ya Atletico Madrid.
Man Cityilikuwa ugenini kucheza dhidi ya Dynamo Kyiv, wakati ambao klabu ya PSV Endhovenilikuwa ikicheza dhidi ya Atletico Madrid.

Kwa upande wa mashabiki wa Ligi Kuu soka Uingereza walikuwa na shauku ya kutaka kuona mchezo kati ya Dynamo Kyiv dhidi ya Man City, kwa mchezo huo wa kwanza wa hatua ya makundi Man City walifanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-1, licha ya kuwa walikuwa ugenini.
0 comments:
Post a Comment