Big Boss ni Mwanamuziki wa Miondoko ya Kufoka foka ambae yupo ndani ya
Tamaduni Music
..Ameanzisha Studio yake inayoitwa MOTO Records..Bongo
FUSE TV Tumewatembea Studio na kukuta wasanii Kibao akiwemo
Nick Mbishi
na Producer Duke ambao Wote tumefanya nao mahojiano na kutupa Freestyle
za nguvu
Bofya link kucheki Video Hapa chini:
0 comments:
Post a Comment