Monday, 11 July 2016

VIDEO: Jionee party ya Wema Sepetu, Idris, Bella na watu wao Dsm


Usiku wa July 10 2016 mastaa wa bongo Wema SepetuIdris Sultan na Christian Bellawaliungana na watu wao Dar es salaam kwenye party hii ambayo ilitangazwa kwa siku kadhaa ambapo AyoTV ilikuwa karibu kuyanasa matukio yote kwenye hii video hapa chini.

0 comments:

Post a Comment