
Wapenzi wa muziki wa Justin Bieber hii ni kwa ajili yenu, Usiku wa June 8 2016 Bieberameachia video mpya ya hit single kutoka katika album yake ya ‘Purpose’ album ambayo inafanya vizuri mitandaoni, Bieber kaamua kuachia video rasmi ya hit single yake ya‘Company’, enjoy dakika 3 za video yenyewe mtu wangu
.
0 comments:
Post a Comment