Tuesday, 7 June 2016

VIDEO: CCM wameyazungumza haya baada ya upinzani kusema wanaenda kwa wananchi kushitaki

June 06 2016 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka amekutana na waandishi wa habari na kuzungumza mambo kadhaa ambapo kati ya hayo amezungumzia suala la wabunge wa upinzani kusema wanaenda  kwa wananchi kushtaki kutokana na mambo kadhaa ambayo yamekuwa yakijitokeza kwa Serikali ya awamu ya tano……….
>>>’nataka niseme katika jambo hili, sijajua wameshauriwa na nani japo kwenye gazeti wamesema wameshauriwa na mshauri wao wa siasa profesa mmoja ambaye amekuwa nje katika kipindi chote cha uhai wa mwalimu na akarudi juzi kutoka Botswana, ndiye kawashauri kwamba hizi ndio sifa za serikali ya kidikteta nao wakameza bila kutafakari na wanaamua kucheua bila kuitafakari nataka niwaambie Rais ana madaraka’
Unaweza kuangalia video hii hapa chini


0 comments:

Post a Comment