
Stori inayochukua headlines 88.1 (Mwanza) kuhusu Mama mtoto wa Nay wa Mitego, Siwema kutumikia kifungo cha nje, sasa Ayo TV imempata Nay wa Mitego kueleza taarifa hizo za mzazi mwenza.
‘Tulikuwa tunapambana jinsi ya kumsaidia mpaka amepata kifungo cha nje, na kuna vitu ambavyo hatakiwi kufanya katika jamii kama kupigana au kusafiri nje ya mkoa fulani mpaka kifungo chake cha miaka miwili lkitakapokwisha basi anaruhusiwa kuendelea na mambo mengine’- Nay wa Mitego
0 comments:
Post a Comment