May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo
pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz walipata mwaliko wa
kuingia Bungeni Dodoma ambapo wakali hawa wapo Dodoma kwa ajili ya
kuidondosha burudani Chuo kikuu Dodoma.
Tazama Video Hapa:
0 comments:
Post a Comment