PICHA:Waziri Mkuu Akiwasili Ukumbi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi London Kumwakilisha Magufuli Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiingia ukumbi wa Lancaster House, London kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu mapambano dhidi ya Ufisadi Waziri Mkuu ameshiriki katika Mazungumzo Rasmi ya Wakuu wa Nchi, akimwakilisha Rais Magufuli Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment