Akiongea na Count Down ya Clouds Fm Prof Tibaijuka amesema yeye ni
muhanga wa ufisadi. Amesema kuna mtandao wa mafisadi unaotoa watu kafara
na wenyewe hauguswi.
"Naafiki kuanzishwa kwa mahakama ya mafisadi, labda itasaidia kukamatwa
na kushitakiwa mafisadi wenyewe. Maana wengine tunatolewa kafara na
mtandao hauguswi, labda zitaachwa kukamuliwa nyama na kuziita majipu".
Alisema Prof Tibaijuka.
My take:
Mtandao huu ni upi? Unalindwa na nani? Hivi Prof ni msafi au anajitetea?
0 comments:
Post a Comment