Mwanaharakati Joyce Kiria Alia Ukata wa Fedha..Adai Kikwete Amestaafu Urais na Pesa Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria. Ameandika kwenye page yake ya Facebook ''Dady i miss u ðŸ˜. pesa imestaafu na wewe, maisha magumu kweli, siku hizi pesa naiona kwenye taarifa ya habari, habari za biashara'' Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment