Friday, 13 May 2016

Full Video: Birthday party ya Sallam meneja wa Diamond Platnumz

Ilikua siku ya kuzaliwa kwa Meneja Sallam SK ambaye ni meneja wa mwimbaji Diamond Platnumz, party ilifanyika usiku wa May 11 2016 Element Dar es salaam ambapo mastaa kibao walitokezea akiwemo Ben Pol, Shilole, Ray, Theo wa Mafikizolo na Diamond Platnumz.

0 comments:

Post a Comment