Thursday, 7 April 2016

[+VIDEO]Maswali Zamaradi Mketema aliyomuuliza Gardner G. Habash baada ya kurudi CloudsFM


Zamaradi Mketema ni mtangazaji wa show ya TAKE ONE CloudsTV ambapo wiki hii habari kubwa mjengoni ni kurudi kwa Gardner G. Habash kwenye Radio ambayo aliifanyia kazi na kuiacha December 2010, ukitazama hizi video hapa chini utakutana na majibu ya Gardner.


0 comments:

Post a Comment