Monday, 7 March 2016

VIDEO: Mtazame Rais Magufuli akimtangaza katibu mkuu kiongozi mpya

March 6 2016 Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuliamemtangaza katibu mkuu kiongozi mpya
kwenye serikali yake ambaye anachukua nafasi hiyo iliyokua kwa Ombeni Sefue, katibu mkuu mpya amekua akifanya kazi kama Balozi wa Tanzania India, mtazame Rais Magufuli hapa chini

0 comments:

Post a Comment