Sunday, 28 February 2016

Ni Wapi Alipo Comrade Kinana? Je Magufuli Amemsahau....Namkubali Sana Jamaa Katika Makada CCM Waliopambana Kujenga Chama

Sijamsikia kwa kipindi kirefu kidogo na sio kawaida yake, na hata zile safari za ujenzi wa chama zilizoandaliwa hivi majuzi sizisikii tena
kama wamekwenda au lah, mwenye taarifa atupatie maana alisaidia sana "kukijenga chama" huko mikoani kiasi kwamba kura za Chama "ziliongezeka" kwa kiasi kikubwa..Je Magufuli Kamsahau ama Vipi?

0 comments:

Post a Comment