"KUZALIWA MASKINI SIO ADHABU YA KIFO
Siku ya Ijumaa, Tarehe 26 February 2016 Saa Tatu Asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano Golden Jubilee ikiwa ni
sehemu ya sherehe zakutimia miaka 3 ya Blogu ya Wananchi, nitawasimulia vijana na Wageni Waalikwa historia ya Maisha yangu na Mafanikio Maishani Mwangu; Nimetoka wapi,Niko wapi na Ninakwenda wapi?
Kuzaliwa Maskini sio Adhabu ya Kifo ndiyo Ujumbe mzima katika Mazungumzo yetu.Karibuni sana tubadilishane Mawazo na ufahamu.#kuzaliwaMaskiniSioAdhabuYa Kifo."
0 comments:
Post a Comment