Monday, 29 February 2016

Halima Mdee na Said Kubenea wanashikiliwa na Polisi

mdeee1
Mbunge wa Kawe Halima Mdee.

said1

Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea.
Wabunge wa Chadema, Halima Mdee na Said Kubenea wanashikiliwa na  jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wakidaiwa kumfanyia vurugu Katibu Tawala wa Dar, Theresia Mmbando juzi baada kutangaza kuahirisha uchaguzi wa meya na naibu meya katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar .

0 comments:

Post a Comment