Friday, 26 February 2016

Cheki video ya Top 10 news kutoka Instagram za mastaa wa bongo haitakiwi zikupite wiki hii

 Habari za mastaa kutoka kwenye mitandao yao ya kijamii Instagram, Facebook na Twitter ambapo mtangazaji leo ni Asteria Mvungi, kuna post za Wema Sepetu zilizofutwaAy na TCRA, Nay wa Mitego na kufungiwa
Linah na maji ya weupe wa Ray studio na mengine bonyeza play kwa hii video hapa chini.

0 comments:

Post a Comment