
May 26 Msanii toka 254 Kenya Prezoo amekutana na Ayo TV pamoja namillardayo.com na ametuonesha Girlfiend wake mpya ambaye hivi karibuni amemvalisha pete ya uchumba na wako katika harakati za kufunga ndoa hivi karibuni.
‘Unajua mimi sitaki kuwa kama wasichana wengine ambao wanaweza kuchumbiwa au kuvalishwa pete na kusubiria ndoa hata miaka mitano, kama kila kitu kitakaa sawa na mungu akijalia mwaka huu hautaisha bila sisi kufunga ndoa’>>>Mishele Ola Girlfiend wa Prezoo
0 comments:
Post a Comment