
Wakati bunge likisubiria kupitisha au kutopitisha bajeti ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo hotuba yake iliwasilishwa wiki iliyopita na Waziri Charles Mwijage.
Leo Mei 9 2016 katika kipindi cha maswali na majibu Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kuuliza maswali na kupatiwa majibu Hapa kuna hii video ya dakika 7 kujionea Waziri Mwijage akijibu maswali hayo. Hili neno ‘Toothpicks’ lilivyosumbua kutamkika.
ILIKUPITA HII SENTENSI ZA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU KUHUSU SUKARI NA WAFANYABIASHARA WAKINAMAMA?
0 comments:
Post a Comment