Wednesday, 6 April 2016

Watu 4 Wafariki kwa Kufukiwa na Kifusi Leo Kawe – Dar

kifusi
Watu wanne wamepoteza maisha na wengine watano wajeruhiwa baada ya kufukiwa na kifusi asubuhi hii eneo la Ukwamani, Kawe – Dar.
Taarifa za awali zinasema waliofariki ni mfanyakazi wa ndani, watoto wawili na baba mwenye nyumba.

0 comments:

Post a Comment