Wednesday, 6 April 2016

Antonio Conte Atinga Chelsea kwa Mkwara Mzito

Chelsea (5)Kocha mpya wa Chelsea Antonio ConteChelsea (1)Kapteni wa Chelsea, John Terry.Chelsea (3)Diego Costa anahusishwa kuhamia Atletico Madrid msimu ujao.Chelsea (4)Eden Hazard anahusishwa kujiunga na PSG msimu ujao.Chelsea (2)Nemanja Matic (kulia) ni mchezaji mwingine ambaye anasemeka hatokuwepo kikosini hapo msimu ujao.
Kocha mpya wa Chelsea Antonio Conte jana Jumanne akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Kamati ya Ufundi ya Klabu hiyo, Michael Emenalo alitimba mazoezini kwa kushtukiza wakati akienda kutambulishwa rasmi kwa wachezaji hiyo.
Baaya ya utambulisho huo, leo anatarajiwa kuzungumza na wachezaji wa kikosi hicho ambao wanauhakika kuwa watahama klabuni hapo msimu ujao.
Conte anatarajiwa kuzungumza na kapteni ya John Terry ili kufanya makubalianao ya kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja zaidi, Eden Hazard ambaye anahusishwa kuhamia Atletico Madrid msimu ujao, Diego Costa anayehusishwa kuhamia Atletico Madrid msimu ujao na Nemanja Matic ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu.

0 comments:

Post a Comment