
Kutana na Maua, mwimbaji wa bongofleva mmiliki wa hit single ‘mahaba niue‘ ambayo ilishika nafasi ya kwanza kwenye CloudsFM Top 20 March 2016, kwenye hii video hapa chini anatuelezea moja ya visa alivyokutana navyo siku za mwanzoni anaanza kuja kutafuta kwenye jiji la Dar es salaam akitokea Moshi.
ULIZIKOSA INSTAGRAM NEWS? STAA GANI WA TZ KAFUTA PICHA ZOTE? KISA? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment