VIDEO: Diamond kayaongea haya baada ya kurudi Tanzania… ya Fally Ipupa, Awilo na mengine Diamond Platnumz amemaliza kufanya show zake kwenye miji tisa ya Ulaya na sasa amerudi nyumbani Tanzania kwa ajili ya kuendelea na harakati nyingine…. wakati anatua Airport Dar es salaam AyoTV ilimpata kwenye Interview hii hapa chini. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment