Friday, 1 April 2016

Tinashe na Zendaya wamemu UnFollow Chris Brown Instagram,moto wake sasa,jamaa kapanic

chris brown drama
Rnb staa Chris Brown amewakasirikia vikali wasanii wawili Tinashe na Zendaya baada na wana dada hawa ku unfollow kurasa ya Instagram ya Chris Brown.
Chris alitumia Insta yake kutupia maneno haya makali kwa Tinashe ambaye hivi karibuni walifanya wimbo pamoja wa Tianshe Ft Chris Brown ‘Player’.
Sababu ya ku Unfollow kurasa ya Chris Brown imetajwa kuwa ni kauli zake mbaya kwa msanii mwenzao wa Rnb Kehlani aliyetaka kujiuwa.
Chris amewachana kwa kusema “Yeye sio mtu wa kuoba collabo kama wao na hahitaji mtu kwenye wimo wake, hayupo kwneye kundi lolote na anafanya mambo mwenyewe, pia kumbuka kuna maisha na kazi ya maisha yako, hawani pendi sababu kila siku wanashika namba mbili na sio moja, nyie mmetengenezwa kuwa mlipo, mimi nilizaliwa CHRIS BROWN‘.
chris brown

0 comments:

Post a Comment