Sunday, 6 March 2016

BREAKING: Rais Magufuli ameteua katibu mkuu mpya kuchukua nafasi ya Ombeni Sefue

Kutoka Ikulu Dar es salaam leo March 6 2016, ni uteuzi mpya uliofanywa na Rais John Pombe Magufuli kwa kumteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu kiongozi ambapo kabla ya uteuzi huo Mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini India.
Kufuatia uteuzi huo, Rais Magufuli amesema aliyekuwa katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue atapangiwa kazi nyingine.
maaaaaaaaaaaaaaaa
Rais Magufuli

0 comments:

Post a Comment