Tuesday, 3 October 2017

Wolper na Harmonize walivyokutana kwenye Birthday Party ya Diamond

Muimbaji wa Bongofleva Harmonize amekutana na mpenzi wake wa zamani Jackline Wolper wakiwa kwenye Birthday Party ya Diamond PlatnumzWolper na Harmonize ambao waliachana ndio kwa mara ya kwanza wamekutana hadharani mbele za watu baada ya kuachana.
Style aliyoitumia Idris kumuwish Diamond, haijamfurahisha Hamisa

0 comments:

Post a Comment