Mnamo tarehe 3, October 2016 ndio siku itakayokumbukwa na Roma Mkatoliki baada ya kufunga ndoa na mchumba wake huko Tanga.
Sasa millardayo.com & Ayo TV imempata Mama Ivan ambaye ni mke wa msanii wa hiphop Tanzania Roma Mkatoliki anasema amejifunza mengi kwenye uhusiano wake pamoja na ndoa yao iliyofikisha mwaka mmoja.
‘Uhusiano una miaka saba na
mwezi wa kumi tunatimiza mwaka mmoja wa ndoa yetu kwahiyo tunahusino wa
miaka saba, kwanza kama mtu ana uhusiano na msanii ukubaliane na kile
kinachomuingizia pesa kwani kuna kuingia studio nyakati za usiku wa
manane pia kuna kwenda kwenye saa tisa za usiku, kwahiyo sisi tunaishi
vizuri’
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Roma Mkatoliki kuhusu uhusiano na Ndoa yao iliyofikisha mwaka mmoja
0 comments:
Post a Comment