
December 2013 zilitoka stori kwamba
Mtanzania Jackie Cliff ambae ni mrembo aliekuwa na uhusiano na msanii wa
Bongo Fleva Jux amekamatwa na dawa za kulevya huko China.
Sasa najua ni muda mrefu sana mpaka Jux
kuingia kwenye headlines zingine za kuwa na uhusiano na Vanessa Mdee
lakini hapa ameipa heshima Ayo TV na millardayo.com kuhusu kuzungumza
machache ya EX wake Jack Cliff.
‘Kiukweli
nipo kwenye maisha mengine mahusiano mengine uwa najaribu kuuliza kwa
watu wake wa karibu ebhana vipi umeongea na fulani hivyo yaani,
nisiongee uongo imepita muda kidogo sijapata kuwasiliana nae kwahiyo
watu ambao ninakutana nao wananiambia yuko sawa na anaendelea vizuri’– Jux
0 comments:
Post a Comment