Mei 4 2016
Bunge limeendelea Dodoma ikiwa ni mkutano wa tatu, kikao cha kumi na
mbili ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Hamisi Kigwangalla alikuwa akijibu maswali ya wabunge.
Baadhi ya maswali ni pamoja na Mbunge Mgeni Jadi Kadika viti maalum aliyeuliza..’Ugonjwa
wa Myoma ni moja kati ya matatizo makubwa yanayoathiri akina mama
kuzuia uzazi na kusababisha kansa ya kizazi pamoja na kupoteza maisha.‘
Katika moja ya swali la nyongeza aliloulizwa lilitoka kwa Mbunge wa Kaliua Magdalena Sekaya ambaye aliuliza..
‘Tunalotatizo
kubwa sana la uzazi Tanzania, ndoa nyingi zinavunjika kwasababu
wakinamama wanashindwa kupata mimba, Je, Naibu Waziri haoni kama ugonjwa
wa Fibroid ni tatizo kubwa? ‘
Hapa Naibu Waziri Kigwangalla kayajibu maswali yote ambapo baadae baadhi ya Wabunge wakaanza kupiga kelele..
ULIZIKOSA HIZIDAKIKA 6 ZA MBUNGE KANGI LUGOLA KUHUSU WAKULIMA HEWA NA KAMPUNI ZA WAHINDI?
0 comments:
Post a Comment