Thursday, 28 April 2016

VIDEO: Zitto Kabwe kuhusu bajeti ya Serikali ‘hatukutegemea hivyo awamu ya tano’


April 27 2016 Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe ambaye pia ni kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo alihojiwa na AyoTV nje ya bunge Dodoma na kuzungumza kuhusu bajeti ijayo ya serikali, mikopo na ishu nyingine nyeti, mtazame kwenye hii video hapa chini 

TATIZO LA VIJANA KUKOSA AJIRA HALIJAACHWA KIMYA BUNGENI LEO

0 comments:

Post a Comment