Thursday, 14 April 2016

Mamlaka ya Hali ya hewa yatoa tahadhari ya Mvua kubwa

Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya hali ya hewa hapa nchini inasema kuwa ndani ya masaa 24 tutarajie kunyesha kwa mvua kubwa na kuwataka wananchi kuchukua tahadhari. 

Taarifa hiyo ilibanisha baadhi ya mikoa itakayoathrika ni  Tanga, Dar es salaam, Pwani na Morogoro pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. Wakazi wa maeneo tajwa wanashauriwa kuchukua tahadhari na hatua stahiki. Hali hii inatokana na kuimarika kwa ukanda wa mvua sambamba na uwepo kimbunga FANTALA katika Bahari ya Hindi.

0 comments:

Post a Comment