

Antoine Griezmann wa Atletico akifunga goli la kwanza

Mpira uliopigwa na Antoine Griezmann kwa kichwa ukiingia nyavuni.

Antoine Griezmann akishangilia gori


Luis Suarez baada kukosa gori

Griezmann akipiga shuti.

Kocha Atletico Madrid, Diego Simeone akitoa mwongozo kwa wachezaji wake.
Antoine Griezmann akifunga gori la pili.


Antoine Griezmann akishangilia gori la pili baada ya kuifunga Barcelona

Yannick Ferreira-Carrasco akichuana na Gerard Pique.

Lionel Messi akipambana na Filipe Luis kuwania mpira

Neymar akiangushwa chini na mchezaji wa Atletico Madrid

Lionel-Messi- akishangaa baada ya kufungwa na Atletico Madrid.
JANA usiku hali ilikuwa ngumu kwa klabu
ya soka ya Hispania, Barcelona baada ya kukubali kichapo cha bao 2-0
kutoka kwa majirani zao Atletico Madrid na kutolewa kabisa kwenye
michezo ya fainali ya Kombe la UEFA.
Antoine Griezmann ndiye aliyeipa timu yake ushindi wa
mabao mawili na kuiwezesha Atletico Madrid kufanikiwa kuvuka na kucheza
nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa, pili timu hiyo imeivua ubingwa wa Ligi
ya Mabingwa Ulaya, Barcelona.
Katika mechi ya kwanza ikiwa nyumbani, Barcelona
ilishinda kwa mabao 2-1. Hivyo kwa ushindi wa jana Atletico ikiwa
nyumbani, maana yake imeing’oa Barcelona kwa jumla ya mabao 3-2.
0 comments:
Post a Comment