Thursday, 10 March 2016

[+video]Amani wa Kenya hajastaafu muziki… katuletea hii video mpya ft. Washington inaitwa ‘bonbon’

Yupo kwenye orodha ya wanamuziki wakongwe kwenye muziki wa kizazi kipya Kenya…. wengi wanazikumbuka hits zake kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 2000 na bado mpaka sasa hajatangaza kuacha kuingia studio… katuletea hii single mpya ‘bonbon‘ yuko na Washington, ukimaliza kuitazama uniachie na comment akipita ajue mashabiki zake wameipokeaje.


0 comments:

Post a Comment