Friday, 11 March 2016

video yote Rais Magufuli alivyokwenda benki kuu bila kuwataarifu na maswali aliyowauliza

March 10 2016 Rais wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli alikwenda kwenye benki kuu ya Tanzania kwa kushtukiza, baada ya kufika ikabidi akae kuongea na wahusika kuhusu ishu mbalimbali, tazama hii video hapa chini.

0 comments:

Post a Comment