Diamond Platnumz Kutambulisha Kichwa Kingine Kutoka Wasafi Wiki Hii Lebel ya Diamond Platnumz ‘Wasafi’ imetangaza rasmi kumtambulisha msanii mpya baada ya mafanikio makubwa ya Harmonize. Kupitia twitter Diamond Platnumz ametufahamisha haya. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
0 comments:
Post a Comment