Saturday, 12 March 2016

Baba Mzazi wa Lulu Yupo Tayari Kupokea Mahari....Adai Muda Umefika Sasa wa Mwanawe Kuolewa

Baba yake Lulu ameongea na E-newz na kutufahamisha bado hajapokea mahari ya mwanae na yupo tayari kupokea mahari, hivyo E-news imeamua kuutoa ujumbe huu wa baba Lulu.
Huku wengi wakidhani kuwa ujumbe huo unaweza kumfikia mtu mzima Majey ambaye kwa sasa wapo kwenye mahusiano na Lulu.

0 comments:

Post a Comment